Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Top posts

  • Top 5 ya watoto wa wasanii waliotokelezea April 2015

    18 April 2015 ( #Burudani )

    Mungu yu mwema kwa kuwajalia wanadamu ili wazae na kuujaza ulimwengu, bila hivyo sijui ingekuwaje! Bila shaka kusingekuwa na kizazi cha binadamu na kubwa zaidi, tusingekuwa tunawasiliana wakati huu. Sasa nakupa mchanyato kwa hisani kubwa ya Bongo5, hii...

  • UJENZI NI TEKNOLOJIA, TAZAMA PICHA HIZI

    18 April 2015 ( #HABARI PICHA )

    Elimu ya Tanzania ilenge kutufikisha huko Mambo ya binadamu hayo Watu wanataka fika mbinguni Ramani yenye mvuto Uzuri Osama alikufa

  • Ndege wenye mvuto zaidi Afrika

    18 April 2015 ( #HABARI PICHA )

    Hicho ni kiduku original Huyu ndege anaitwaje? Hii ni fahari ya macho

  • Robert Mugabe, Rais aliyekerwa na vurugu za Afrika kusini

    18 April 2015 ( #Siasa )

    Dunia nzima imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu vurugu zinazoendelea nchini Afrika ya kusini, Rais mwenye umri mkubwa kuliko maraisi wote barani Afrika Mh.Robert Mugabe amekemea vitendo vya ubinafsi na ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na wazawa...

  • Guardiola:Ushindi wa kufa na kupona

    22 April 2015 ( #Michezo )

    Ushindi wa timu ya Bayern Munich ya Ujerumani dhidi ya FC Porto ya Ureno umetajwa kuwa ushindi wa kujihami kwa maana ya kufa au kupona kutokana na mazingira ya mechi yenyewe. Alipokuwa akizungumza na kituo cha televisheni cha ZDF, kocha mkuu wa klabu...

  • Dr.Reginald Mengi hastahili kupuuzwa kwa usalama wetu!

    17 April 2015 ( #UCHAMBUZI YAKINIFU )

    Siku ya jana Mkurugenzi Mtendaji wa IPP media Dr.Reginald Mengi alionesha kusikitishwa na tuhuma nzito zinazohusiana na uhaini. Akizungumza na waandishi wa habari, Dr.Mengi alielezea kusikitishwa kwake kutokana na tuhuma nzito zilizoelekezwa kwake kuhusu...

  • Mwanafunzi auawa kwa kosa la kufeli kiswahili

    22 April 2015 ( #Matukio )

    Katika kile kinachoonesha kuwa kampeni ya 'Learn without fear' haijakubalika miongoni mwa walimu wengi nchini, Mwanafunzi mmoja katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara alipigwa na walimu wake hadi kufa muda mfupi baadaye kwa kile kinachodaiwa kuwa alifeli...

  • Je, tuamini viongozi wa ACT hawataki madaraka?

    24 April 2015 ( #UCHAMBUZI YAKINIFU )

    Mhe.Zitto Kabwe akiwa na Dr.Kitila Mkumbo dakika chache baada ya kujiunga na chama cha ACT. Unajua utu uzima dawa, ni katika hatua hii ya utu uzima ndipo unapoweza kutofutisha pumba na mchele ktik maisha.Umewahi kujiuliza mantiki ya methali isemayo mtaka...

  • Yamini Karanam: Mwanamke aliyekutwa na mimba ubongoni

    24 April 2015 ( #KIMATAIFA )

    Yaman Karanam Kuna mwimbaji mmoja wa nyimbo za Kiafrika anaimba kwamba, "Dunia hii mama,mwendo wa ngamia....." Mimi sijui mwendo wa ngamia ukoje maana zaidi ya kutazama video na picha, kule kwetu nyanda za juu kusini hakuna ngamia na hata maeneo mengine...

  • Isome barua ya Kung'atuka ubunge ya Mhe.Zitto Kabwe!

    26 April 2015 ( #SIASA )

    Ni dhahiri kumekuwa na maneno ya hapa na pale kuhusu sakata la aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kufukuzwa uanachama wa CHADEMA kutokana na tuhuma za usaliti.Pamoja na kutangazwa rasmi katika vyombo vya habari kuwa Zuberi Zitto si mwanachama wa CHADEMA...

  • Wakenya zaidi ya 280 wakimbilia Tanzania

    22 April 2015 ( #MATUKIO )

    Katika kile kinachotanabaisha hali tete ya usalama nchini Kenya, raia zaidi ya 280 wameripotiwa kuikimbia nchi yao na kukimbilia Tanzania kutafuta hifadhi na fursa za kiuchumi kinyume cha sheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti la 'Jamhuri,...

  • Majambazi wamefukua kaburi na kumwibia marehemu!

    27 April 2015 ( #MATUKIO )

    Katika hali inayoashiria kupungua kwa imani na ubinadamu nchini Tanzania, watu wanaosadikika kuwa majambazi wamefanya tukio la ajabu mno baada ya kufukua kaburi la marehemu na kuiba vitu kadhaa. Tukio hilo limetokea aprili 24 mwaka huu katika eneo la...

  • Katuni; Kipanya na wasaka Urais

    22 April 2015 ( #HABARI PICHA )

    Fafanua,elewa kisha ng'amua Je, huyo ni nani na anatoa taswira gani? Jibu baki nalo mwenyewe mpaka october 30,2015