Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Dunia nzima imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu vurugu zinazoendelea nchini Afrika ya kusini, Rais mwenye umri mkubwa kuliko maraisi wote barani Afrika Mh.Robert Mugabe amekemea vitendo vya ubinafsi na ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na wazawa wa Afrika kusini.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Rais Mugabe amesema, inashangaza kuona 'wazawa' wanaweza kuiangusha sanamu ya wazungu lakini hawawezi kumuua mzungu aliye hai isipokuwa mtu mweusi mwenzao.

Hakika ni wkwti wa jumuiya ya kimataifa kukemea vitendo hivi

Mzawa akiwasaka wahamiaji kutoka kwingineko Afrika

Mzawa akiwasaka wahamiaji kutoka kwingineko Afrika

Tag(s) : #Siasa
Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe: