Mhe.Zitto Kabwe akiwa na Dr.Kitila Mkumbo dakika chache baada ya kujiunga na chama cha ACT. Unajua utu uzima dawa, ni katika hatua hii ya utu uzima ndipo unapoweza kutofutisha pumba na mchele ktik maisha.Umewahi kujiuliza mantiki ya methali isemayo mtaka...
Read moreuchambuzi yakinifu
Dr.Reginald Mengi hastahili kupuuzwa kwa usalama wetu!
Siku ya jana Mkurugenzi Mtendaji wa IPP media Dr.Reginald Mengi alionesha kusikitishwa na tuhuma nzito zinazohusiana na uhaini. Akizungumza na waandishi wa habari, Dr.Mengi alielezea kusikitishwa kwake kutokana na tuhuma nzito zilizoelekezwa kwake kuhusu...
Read more