No post found.
Stick around and read the latest posts.
No post found.
Stick around and read the latest posts.
Katika hali inayoashiria kupungua kwa imani na ubinadamu nchini Tanzania, watu wanaosadikika kuwa majambazi wamefanya tukio la ajabu mno baada ya kufukua kaburi la marehemu na kuiba vitu kadhaa. Tukio hilo limetokea aprili 24 mwaka huu katika eneo la...
Read moreNi dhahiri kumekuwa na maneno ya hapa na pale kuhusu sakata la aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kufukuzwa uanachama wa CHADEMA kutokana na tuhuma za usaliti.Pamoja na kutangazwa rasmi katika vyombo vya habari kuwa Zuberi Zitto si mwanachama wa CHADEMA...
Read moreYaman Karanam Kuna mwimbaji mmoja wa nyimbo za Kiafrika anaimba kwamba, "Dunia hii mama,mwendo wa ngamia....." Mimi sijui mwendo wa ngamia ukoje maana zaidi ya kutazama video na picha, kule kwetu nyanda za juu kusini hakuna ngamia na hata maeneo mengine...
Read moreMhe.Zitto Kabwe akiwa na Dr.Kitila Mkumbo dakika chache baada ya kujiunga na chama cha ACT. Unajua utu uzima dawa, ni katika hatua hii ya utu uzima ndipo unapoweza kutofutisha pumba na mchele ktik maisha.Umewahi kujiuliza mantiki ya methali isemayo mtaka...
Read moreFafanua,elewa kisha ng'amua Je, huyo ni nani na anatoa taswira gani? Jibu baki nalo mwenyewe mpaka october 30,2015
Read moreKatika kile kinachoonesha kuwa kampeni ya 'Learn without fear' haijakubalika miongoni mwa walimu wengi nchini, Mwanafunzi mmoja katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara alipigwa na walimu wake hadi kufa muda mfupi baadaye kwa kile kinachodaiwa kuwa alifeli...
Read moreKatika kile kinachotanabaisha hali tete ya usalama nchini Kenya, raia zaidi ya 280 wameripotiwa kuikimbia nchi yao na kukimbilia Tanzania kutafuta hifadhi na fursa za kiuchumi kinyume cha sheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti la 'Jamhuri,...
Read moreUshindi wa timu ya Bayern Munich ya Ujerumani dhidi ya FC Porto ya Ureno umetajwa kuwa ushindi wa kujihami kwa maana ya kufa au kupona kutokana na mazingira ya mechi yenyewe. Alipokuwa akizungumza na kituo cha televisheni cha ZDF, kocha mkuu wa klabu...
Read moreDunia nzima imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu vurugu zinazoendelea nchini Afrika ya kusini, Rais mwenye umri mkubwa kuliko maraisi wote barani Afrika Mh.Robert Mugabe amekemea vitendo vya ubinafsi na ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na wazawa...
Read more