Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Katika hali inayoashiria kupungua kwa imani na ubinadamu nchini Tanzania, watu wanaosadikika kuwa majambazi wamefanya tukio la ajabu mno baada ya kufukua kaburi la marehemu na kuiba vitu kadhaa. Tukio hilo limetokea aprili 24 mwaka huu katika eneo la...

Read more
Tag(s) : #MATUKIO

Ni dhahiri kumekuwa na maneno ya hapa na pale kuhusu sakata la aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kufukuzwa uanachama wa CHADEMA kutokana na tuhuma za usaliti.Pamoja na kutangazwa rasmi katika vyombo vya habari kuwa Zuberi Zitto si mwanachama wa CHADEMA...

Read more
Tag(s) : #SIASA

Katika kile kinachoonesha kuwa kampeni ya 'Learn without fear' haijakubalika miongoni mwa walimu wengi nchini, Mwanafunzi mmoja katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara alipigwa na walimu wake hadi kufa muda mfupi baadaye kwa kile kinachodaiwa kuwa alifeli...

Read more
Tag(s) : #Matukio

Katika kile kinachotanabaisha hali tete ya usalama nchini Kenya, raia zaidi ya 280 wameripotiwa kuikimbia nchi yao na kukimbilia Tanzania kutafuta hifadhi na fursa za kiuchumi kinyume cha sheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti la 'Jamhuri,...

Read more
Tag(s) : #MATUKIO

Ushindi wa timu ya Bayern Munich ya Ujerumani dhidi ya FC Porto ya Ureno umetajwa kuwa ushindi wa kujihami kwa maana ya kufa au kupona kutokana na mazingira ya mechi yenyewe. Alipokuwa akizungumza na kituo cha televisheni cha ZDF, kocha mkuu wa klabu...

Read more
Tag(s) : #Michezo
1 2 > >>